BMG TV: Maajabu! Mapya yaibuka Kisiwa kinachosafiri Ziwa Victoria

Описание к видео BMG TV: Maajabu! Mapya yaibuka Kisiwa kinachosafiri Ziwa Victoria

Kipande cha ardhi chenye majani na miti kikiwa na ukubwa wa Hekari 12 ambacho wenyeji wanaita kisiwa ambacho kinachoelea katika maeneo mbalimbali ya Ziwa Victoria kimeibua hisia kali baada ya kuonekana katika eneo la Kahunda Halmashauri ya Buchosa, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.

BMG Online Media- Pamoja Daima!
Tovuti https://www.bmgblog.co.tz/
Facebook   / bmghabari  
Twitter   / bmghabari  
Instagram   / bmghabari  
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

Комментарии

Информация по комментариям в разработке