MAANDALIZI YA KILIMO CHA MAHARAGE KWA NJIA YA UMWAGILIAJI

Описание к видео MAANDALIZI YA KILIMO CHA MAHARAGE KWA NJIA YA UMWAGILIAJI

Kilimo cha maharage kwa njia ya umwagiliaji Kinafaida. Endapo utalima kipindi cha Kiangazi
1. Mimea ukua kwa haraka
2. Magonjwa upungua
3. Gharama uwa nafuu kwenye Dawa za wa wadudu
4. Soko la uhakika
#maharage#kilimo

👉Kilimo cha maharage Upandaji, matumizi ya mbolea    • KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA...  

👉Jinsi ya kuweka mbolea kwenye Kilimo cha maharage
   • KILIMO  CHA  MAHARAGE:  MATUMIZI YA M...  

👉Mchanganuo wa uwekezaji kwenye kikimo cha maharage katika Hekari 1 mtaji na faida yake
   • MCHANGANUO KWENYE KILIMO CHA MAHARAGE...  

Kwa ushauri Kuhusu kilimo na ufugaji
kwa wasap pekee +255765467484

Комментарии

Информация по комментариям в разработке