Msisimko wa Sifa - J. C. Shomaly | St. Paul's Students Choir University of Nairobi | Sauti Tamu

Описание к видео Msisimko wa Sifa - J. C. Shomaly | St. Paul's Students Choir University of Nairobi | Sauti Tamu

Happy Easter. Kila heri ya Pasaka watazamaji. Bwana Yesu amefufuka, ameturudishia uzima, tumshangilie kwa msisimko wa sifa.

St. Paul's Students Choir University of Nairobi vol 8

Karibu kuutazama wimbo wa kwanza wa kanda ya nane (vol 8) Kwaya Kuu ya Wanafunzi ya Mtakatifu Paulo, Chuo Kikuu cha Nairobi

#StPaulsStudentsChoir #vol8 #SautiTamu

Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Watumishi Wake Baba - Traditional sasa zinapatikana hapa

Usikose pia kutazama nyimbo nyingine za St. Paul's Students Choir, Nairobi University songs YouTube kama vile
Nitakutukuza Mungu, Mwangaza (Mukasa), Natazama Kalvari (Kwaresima) na Tunakimbilia Ulinzi wako (Mama Bikira Maria)

Misa Upendo (sub vol 8.1) na nyinginezo za kanda zilizotangulia: Alfajiri ya Kupendeza, Kina Hiki, Mbinguni Kutakuwa Raha, Mshike Mshike, Ikatetemeka Nchi, Tazameni Miujiza, Ninafikiria sana, Ushuhuda Tosha, Upendo Kupita Upeo,





ORGANIST
MKUDE SEKULU


DIRECTOR
MARTIN MUNYWOKI

COMPOSER
J. C. SHOMALY

PRODUCER
MARTIN MUNYWOKI


Tazama pia wimbo wa Atawala Milele pamoja na nyimbo nyingine katika channel hii

Kupata nyimbo nyinginezo bora za Kikatoliki, tembelea channels kama vile Rajo Production (nyimbo kama Mimina, Bwana Unibadili, Neema ya Mungu, Maneno Matamu), Tanganyika Production (kama vile shusha baraka na moyo wangu), Holy Trinity Studios, GSR Smart Sounds Studio Production, na nyingine.

Lyrics

Tunayapiga makofi na nyimbo za sifa
Tunashangilia, tunafurahia
Leo tunasisimka kumshukuru Muuma
Huo ndio kweli msisimko wa sifa kweli
Pepo na shetani wameshatimua mbio kweli
Tunalipa sifa jina lake Yesu Kristu
Nasi twamsifu Mungu kwa shangwe na sifa
Simka, sisimuka, shangilia, jina Yesu
Tumeuona wema wake na mkono wake umetubariki

Subscribe to find Best Catholic songs Kenya and Tanzania

Комментарии

Информация по комментариям в разработке