William Ruto asema wapinzani wake wanaweza fanya lolote kuhujumu juhudi zake

Описание к видео William Ruto asema wapinzani wake wanaweza fanya lolote kuhujumu juhudi zake

Rais Mteule William Ruto amewataka wabunge wa Kenya Kwanza kuhakikisha wametwa ushindi katika uchaguzi wa maspika katika mabunge yote mawili huku akiwasuta wapinzani wake wakiongozwa na rais anayeondoka Uhuru Kenyatta AKIdai wanaweza kufanya chochote kile kuhujumu juhudi zao.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке