MAPITO BY NEEMA CIZUNGU

Описание к видео MAPITO BY NEEMA CIZUNGU

MAPITO BY NEEMA CIZUNGU
karibuni sana wapendwa wangu kwenye channel hii
wimbo huu wa mapito ni ushuhuda halisi wa mapito katika maisha yetu ya kila siku.

Najisikia nikutie moyo sana wewe unaye pitia mapito haya usikate tamaa Mungu atayamaliza nawe utaafurahi.Najua wimbo huu utagusa maisha yako kwa kiasi kikubwa sana ikiwa huja okoka basi chukua hatua ya kuokoka .

Neno kuu :
Mapito yanaweza kuchafua lakini hayawezi ondoa thamani yako,usiogope Mungu anakujua amen
mwisho kabisa kwajili ya huduma hii unaweza tuma sadaka yako kupitia
Mpesa Tanzania +255757572082

Комментарии

Информация по комментариям в разработке