VITASA | Manyo Plange vs Fadhil Majiha | Thunder Night 04/11/2022

Описание к видео VITASA | Manyo Plange vs Fadhil Majiha | Thunder Night 04/11/2022

USIKU WA RADI: Hapa Mtanzania, Fadhil Majiha alimchapa kwa pointi Manyo Plange kutoka Ghana likiwa ni pambano la saba kati ya mapambano manane ya utangulizi.

Ni kuelekea #UsikuWaRadi #ThunderNight ndani ya ukumbi wa #TheDome Masaki ambapo Mtanzania Nassib Ramadhan alipambana na Toto Helebe kutoka Afrika Kusini.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке