WANENE TV LIVE SESSIONS PRESENTS: RUBY UNPLUGGED

Описание к видео WANENE TV LIVE SESSIONS PRESENTS: RUBY UNPLUGGED

#WaneneTv #RubyUnplugged

Ruby ni msanii mashughuri wa kizazi kipya alie chini ya usimamizi wa Cooley Entertainment. Ruby anajulikana kwa kua na vocal kali na uwezo mkubwa wa kuperform live. Ruby amejiunga nasi kufanya unplugged session siku ya leo na kutambulisha nyimbo yake mpya ya Deco ilioko kwenye album yake mpya.

1. Ntade
2. Alele
3. Forever
4. Na Yule
5. Niwaze
6. Deco

Комментарии

Информация по комментариям в разработке