MAKALA: TEMDO WANAVYOOKOA MABILIONI ya DOLA na KUZITENGENEZA AKILI za VIJANA....

Описание к видео MAKALA: TEMDO WANAVYOOKOA MABILIONI ya DOLA na KUZITENGENEZA AKILI za VIJANA....

MAKALA: TEMDO WANAVYOOKOA MABILIONI ya DOLA na KUZITENGENEZA AKILI za VIJANA....


Kwenye makala fupi ambapo tutapata fursa ya kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO), Mhandisi Prof. Frederick Kahimba. Katika makala hii, Mhandisi Kahimba atatufahamisha jinsi TEMDO inavyoshughulikia uzalishaji na utengenezaji wa mashine na mitambo mbalimbali hapa nchini. Je, umewahi kufikiria kwamba vitanda vya hospitali vinavyotumika nchini vinaweza kuwa vimetengenezwa ndani ya nchi? TEMDO inafanya hivyo hapa hapa nchini jijini Arusha. Na leo tutajifunza zaidi kuhusu juhudi zao na mchango wao katika kukuza na kuendeleza sekta ya viwanda. Makala hii itakupa nafasi ya kujua mambo muhimu yanayofanywa na TEMDO!



MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.


============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке