11/08/2024 | Ibada ya Kumuweka Wakfu Mch Leo D. Domisiano

Описание к видео 11/08/2024 | Ibada ya Kumuweka Wakfu Mch Leo D. Domisiano

Mch Leo D. Domisiano ni ndugu katika Kristo aliyetokea Katoro - Geita, mwenye Mke na Mtoto mmoja. Alianza kazi ya Uinjilisti kwa miaka mingi isiyopungua miaka 5, mpaka sasa amefanikiwa kuzipeleka nafsi nyingi kwa Kristo. Kwa miaka yote hiyo hakuwahi kuwa na Kanisa wala shahuku ya kuanzisha kanisa, lakini jambo fulani lilimsukuma na kuanza Huduma huko Katoro - Geita........ Kama anavyoeleza katika ushuhuda wake. Karibu usikilize ibada hii na ushuhuda wake.
Shalom

Комментарии

Информация по комментариям в разработке