Sebene la Saida Karoli Lapagawisha Mashabiki

Описание к видео Sebene la Saida Karoli Lapagawisha Mashabiki

Published on Jul 7, 2017
SUBSCRIBE NOW    / uwazi1  
Mwanamama Saida Karoli aliyerudi kwa kasi katika tasnia ya muziki wa asili,hatimae Jana julai, 6, 2017 alisheherekea miaka 15 yake katika muziki na hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Escape One Mikocheni , aliangusha burudani ya nguvu iliyopelekea mashabiki kupagawa.

Na kelele za shangwe zilizidi baada ya kuimba wimbo wake aliouachia hivi karibuni baada ya kurudi kwenye gemu unaoitwa Orugambo, ambapo alifafanua maana ya neno hilo kuwa ni Majungu au umbea.

Saida ambaye alipanda jukwaani na madansa wake, alizidi kuwavutia watu waliofika ukumbuni hapo baada ya kuonyesha uwezo wake wa kuimba na kupiga ngoma.
SUBSCRIBE NOW    / uwaz  
Global TV imekuletea habari kamili, itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке