Wakaazi wa kijiji cha Kaai waua na kuchinja ndovu baada ya kuvunja nyumba ya mzee wa miaka 90

Описание к видео Wakaazi wa kijiji cha Kaai waua na kuchinja ndovu baada ya kuvunja nyumba ya mzee wa miaka 90

Wakaazi wenye hasira wa kijiji cha Kaai eneo bunge la Igembe kaunti ya Meru, wameua na kuwachinja ndovu mmoja iliyovunja nyumba ya mzee wa miaka 90 na kujeruhi watu watatu.
Tukio hili linajiri wakati migogoro kati ya binadamu yanaendelea kuripotiwa katika maeneo tofauti nchini.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке