MAKAMU WA RAIS MPANGO ATINGA KIGOMA, ATOA KAULI HII NZITO AKIKAGUA MIRADI..

Описание к видео MAKAMU WA RAIS MPANGO ATINGA KIGOMA, ATOA KAULI HII NZITO AKIKAGUA MIRADI..

MAKAMU WA RAIS MPANGO ATINGA KIGOMA, ATOA KAULI HII NZITO AKIKAGUA MIRADI..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, leo 27 Julai 2022 ametembelea na kukagua miradi ya elimu na afya inaotekelezwa katika Kijiji cha Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais amekagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya wasichana kidato cha tano na sita yenye jumla ya majengo 18 inayojengwa katika kata ya kajana Kijiji cha kasumo,ujenzi unaogharimu shilingi bilioni moja.

Akiwa katika shule hiyo, Makamu wa Rais ameagiza kuongezwa kwa jengo la maabara ya fizikia ilikukamilisha vema lengo la shule hiyo kuwa mchepuo wa sayansi uliokamilika.


⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке