JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Mchangie Msikiti'

Описание к видео JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Mchangie Msikiti'

JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Wote Mchangie Msikiti'
Wakati Rais JPM akiendelea na ziara yake ya Kikazi mkoani mbeya ameamua kuwachangisha fedha mawaziri, viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo na Mchungaji wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri mkoani mbeya mchango wa ujenzi wa msikiti ambao umebomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara, ikiwa ni baada ya kuongozi wa msikiti huo kumuomba Rais JPM Msaada wa mchango kwaaajili ya ujenzi huo.




#ZIARAYAMAGUFULI

www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:

www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS:

Комментарии

Информация по комментариям в разработке