D Voice feat Zuchu - Nani (Laini Lyric Video)

Описание к видео D Voice feat Zuchu - Nani (Laini Lyric Video)

Music by Zuchu na D Voice – Nani?
#muzikilainilaini #muzikilaini #zuchu #dvoice #nani
LYRICS:
VERSE 1:
Ai sweetie..
Kuna kitu mi nataka nikuambie..
lakini naogopa..
utaniona ka nina wivu hivi..
Oooh sweetie..
nikunong'oneze wa pembeni wasisikie..
maana naogopa..
wataniona ka nina wivu hivi..
Asa sijui ndio ujinga..
Sijui ndo ufala..
Au sijui mazoea..
ila napata tabu ukiwa mbali maa..
Maana nashindwa..
Kula hata kulala..
Mnyonge nanyong'onyea..
Mwenzio napata tabu ukiwa mbali maa..

CHORUS:
Honey kwako mi chizi poyoyo
Usiende mbali Nami, we ndio tulizo la moyo (x2)
Ooh na kama sio wewe (Nani)..
Wa kuniliwaza (Nani)..
Kunibembeleza (Nani)..
Wa kunipepea nilale (Nani)..

VERSE 2:
Kuna venye husema..
Unaniteka na kuwa chakaram..
Hii inaitwaje kitaalam..
Ukitajwa kimoyo ni paaah..
Why why why why, Utam..
Mshwiti Mshwiti bubble gum -bubble gum..
Yani nyam nyam nyam nyam nyam..
Ndo mapenzi au uf..
Why why why..
kwanza yote tisa kumi..
moyo umeuhamisha kambi..
Kanipa penzi sabuni..
Lanitakatisha dhambi..
wanasubiri livunjike penzi hili..
hatutishwi na tumbili..
kuachana apende mwenyezi..

CHORUS:
Honey kwako mi chizi poyoyo
Usiende mbali Nami, we ndio tulizo la moyo (x2)
Ooh na kama sio wewe (Nani)..
Wa kuniliwaza (Nani)..
Kunibembeleza (Nani)..
Wa kunipepea nilale (Nani)..

Комментарии

Информация по комментариям в разработке