SC Villa 0-0 EL Merreikh Bentiu | Highlights | Dar Port Kagame Cup 09/07/2024

Описание к видео SC Villa 0-0 EL Merreikh Bentiu | Highlights | Dar Port Kagame Cup 09/07/2024

Sports Club Villa kutoka Uganda, imekabwa koo na Al Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini, mchezo ukimalizika bila goli kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Ni mchezo wa tatu katika michuano ya Kombe la Kagame mwaka huu 2024 ikimalizika bila bao licha ya mashambulizi makali pande zote.....

#DarPortKagameCup

Комментарии

Информация по комментариям в разработке