Bunge: Kupita JKT isiwe kigezo kupata ajira Serikalini

Описание к видео Bunge: Kupita JKT isiwe kigezo kupata ajira Serikalini

Bunge la Tanzania limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kuwa na cheti cha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ili kupata ajira katika baadhi ya taasisi za Serikali ikiwemo Takukuru, Uhamiaji, na Jeshi la polisi.

Kwa habari zaidi:
Soma: https://nukta.co.tz/
Twitter:   / nuktatanzania  
Facebook:   / nuktatanzania  
Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV

Комментарии

Информация по комментариям в разработке