FARU PRODUCT- KIWANDA CHA VIATU NA BIDHAA ZA NGOZI DODOMA

Описание к видео FARU PRODUCT- KIWANDA CHA VIATU NA BIDHAA ZA NGOZI DODOMA

Karibu kufuatilia makala hii muhimu kuhimu kuhusiana na jinsi vijana walivyoamua kujikwamua kiuchumi na kupambana na umaskini kwa kuamua kuungana na kuzalisha bidhaa za ngozi huku wakijulikana kama FARU PRODUCT wanapatikana Jijini Dodoma. na unaweza kuwapata kwa mawasiliano ya simu ya +255 756 332302 au +255 652 453 149

Комментарии

Информация по комментариям в разработке