Donasi | Jinsi yakupika donasi laini na rahisi sana | Mapishi ya donasi .

Описание к видео Donasi | Jinsi yakupika donasi laini na rahisi sana | Mapishi ya donasi .

#donasilaini #donasi #mitaiyaroundi

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji:-
3 vikombe vya unga wa self-raising flour
1/4 kikombe sukari
1/4kikombe butter
Kijiko nusu kidogo chumvi
Hamira pakiti 1
Arki ya vanila kijiko kidogo
Yai 1
1/2 kikombe maziwa vuguvugu
Vijiko vya kula 2 Maji vuguvugu

English recipe press the link ➡️ Soft and fluffy homemade donut | Donut recipe | Easy homemade doughnuts | Sugar doughnuts. ➡️    • Soft and fluffy homemade donut | Donu...  

Donasi | Jinsi yakupika donasi laini kama keki | Mapishi ya donasi . ➡️    • Donasi | Jinsi yakupika donasi laini ...  

Donasi za machine | Jinsi yakupika donasi laini kama keki . ➡️    • Donasi za machine | Jinsi yakupika do...  

JINSI YAKUPIKA DONASI LAINI KAMA KEKI | DONASI | DONASI ZA MAFUTA. ➡️    • JINSI YAKUPIKA DONASI LAINI KAMA KEKI...  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке