🎶 Tembea na Bwana hata usiku

Описание к видео 🎶 Tembea na Bwana hata usiku

Dimanche 15 septembre 2024

1. Tembea na Bwana hata usiku ; Hata kwiko giza umongojee. Wakati adui weko karibu, Ukiwa na Yesu hutaogopa.

Refrain:
Tembea pasipo woga, Upate nguvu mupya. Utembee na Mwokozi ; Na Yeye atakuongoza.

2. Tembea na Bwana pahali pote ; Giza likizidi atakuchunga.
Kuwapo kwa Bwana kutaangaza, Na jangwa mukubwa ikuwe shamba.

Refrain:
Tembea pasipo woga, Upate nguvu mupya. Utembee na Mwokozi ; Na Yeye atakuongoza.

3. Tembea na Bwana usilegee ; Akikuamuru wewe utii.
Ufanye upesi agizo Lake ; Ukiwa na Yesu uko hakika.

Refrain:
Tembea pasipo woga, Upate nguvu mupya. Utembee na Mwokozi ; Na Yeye atakuongoza.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке