Familia yamkaribisha nyumbani binti yao aliyetoweka miaka 34 iliyopita

Описание к видео Familia yamkaribisha nyumbani binti yao aliyetoweka miaka 34 iliyopita

Ilikuwa furaha kwa familia moja eneo la Kiambu baada ya kurejea kwa binti yao aliyetoroka nyumbani miaka 34 iliyopita. Anastasia Njeria amerejea nyumbani baada ya kutafutwa kwa muda, huku sherehe ikiandaliwa kufurahia kurejea kwake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке