Jinsi ya kufanya SMS whatsapp ijitume yenyewe baadae, Endapo ukiwa busy bila kugusa sim.

Описание к видео Jinsi ya kufanya SMS whatsapp ijitume yenyewe baadae, Endapo ukiwa busy bila kugusa sim.

Hii husaidia watu iwapo kama mda wa baadae utakuwepo busy au utakuwa kwenye mkutano basi unaset tu whatsapp yako SMS itajituma yenyewe bila wewe kugusa sim kwa wakati huo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке