NIKODEMO || Kenhut Youth Choir (Official Video)

Описание к видео NIKODEMO || Kenhut Youth Choir (Official Video)

NIKODEMO || Kenhut Youth Choir (Oficial Video)

Video Produced by: Enovarts Creatives
Director: Leyman
Composed by: Sharon Johnson
Sang by: Kenhut Youth Choir
Gmail: [email protected]


LYRICS
Ni usiku huo wa manane Nikodemo kamwendea Yesu,
Na wasiwasi moyoni , maswali kichwani asipate majibu kamwe,
Nifanyeje nifanye nini, nipate uridhi uzima wa milele!
Nifanyeje nifanye nini, nipate uridhi uzima wa milele!

Uzima, uzima wa milele ni uridhi wa hao walokombolewa,
Wale walojikana nafsi zao, na kumkiri Bwana wamejitwika msalaba wake, wakafa naye, wakafufuka naye, kwa kuzamishwa ndani ya maji

Huenda wewe ndiye Nikodemo unasita kati ya njia mbili,
Amua mkubali Yesu , achana ya dunia, azimia ya kalwari,
Mwokozi akusubiri wewe, mikono wazi akuita njoo!
Mwokozi akusubiri wewe, mikono wazi akuita njoo!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке