DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI

Описание к видео DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI

Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani  Mrithi wa Aliyelaaniwa, Asombo akakua katika kimo na akili, akasoma, akajielewa, akabadili jina lake na kujiita Patrice Lumumba, akafanya kazi sehemu mbalimbali nchini, akaingia kwenye siasa kuikomboa Kongo kutoka kwenye makucha ya Wakoloni wa Ubeligiji, Mabeberu wakamuua na kisha kumkatakata vipande na kumyeyusha kwenye pipa la tindikali, Lumumba akapotea Duniani lakini fikra zake zikabaki zikiwasumbua watu wanaoamini Afrika haiwezi kujilisha bila kuomba nje!

JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV?
WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724
EMAIL: [email protected]

Follow Us On Instagram
  / ananiasedgartz  
  / ananiasedgartv  
SUBSCRIBE
https://bit.ly/2ZWGBXo

Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.


______________________________________________________________________________________________


SIMULIZI ZA MATUKIO: https://bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: https://bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: https://bit.ly/3eCOK7m

Комментарии

Информация по комментариям в разработке