Jinsi ya kuufanya mti wa makadamia ukue kwa haraka

Описание к видео Jinsi ya kuufanya mti wa makadamia ukue kwa haraka

Karibu hapa MacadamiaAfrica. Leo tunamalizia series yetu ya kupogolea makadamia. Subscribe like na share na rafiki zako.

Kwa ushauri wa kitalaam tafadhali usisite kuwasaliana na Emmanuel Itonye wa makadamiaAfrica kuptia whatsApp number +255 765 244 541

#macadamia
#pruning
#macadamiaafrica
#smallholderfarmers
#tanzania
#africa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке