SIMULIZI: ALIHUKUMIWA KUNYONGWA, MKAPA, JPM WAKAMUOKOA "NIMEKIONA KITANZI, WENZANGU WALINYONGWA"

Описание к видео SIMULIZI: ALIHUKUMIWA KUNYONGWA, MKAPA, JPM WAKAMUOKOA "NIMEKIONA KITANZI, WENZANGU WALINYONGWA"

Ni simulizi ya maisha ya Mzee Hussein Khatibu Kifunza aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa mwaka 1985, huku akishuhudia wenzake wakinyongwa gerezani (+255688190217).

Ayo Tv na Millardayo.com imezungumza na Mzee Kifunza ambaye ni mzaliwa wa Mzizima ambayo kwa sasa ni jiji la Dar es Salaam amable alisamehewa na Marais wawili tofauti ambao kwa sasa wote ni marehemu, Hayati Benjamin William Mkapa na Hayati Dr.John Pombe Magufuli.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке