Mfanyabiashara Jimi Wanjigi akamatwa na kuzuiliwa polisi Kamukunji

Описание к видео Mfanyabiashara Jimi Wanjigi akamatwa na kuzuiliwa polisi Kamukunji

Mfanyibiashara na mwanasiasa Jimi Wanjigi atasalia korokoroni usiku wa leo baada ya kukamatwa na polisi kwa madai ya kumiliki bunduki bila ya kuwa na leseni. Wanjigi alikamatwa saa kadhaa baada ya kujiwasilisha katika makao makuu ya polisi jijini Nairobi alikoagizwa kufika kuhojiwa kwa madai ya kujihusisha na maandamano ya 'nane nane'.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке