AJALI NJOMBE: BASI LAGONGANA USO KWA USO na LORI, MMOJA AFARIKI, BASI LATUMBUKIA MTONI..

Описание к видео AJALI NJOMBE: BASI LAGONGANA USO KWA USO na LORI, MMOJA AFARIKI, BASI LATUMBUKIA MTONI..

AJALI NJOMBE: BASI LAGONGANA USO KWA USO na LORI, MMOJA AFARIKI, BASI LATUMBUKIA MTONI..

Gift Ngalupela ni mmoja wa abiria aliyekuwa amepanda gari hiyo kutoka mjini Makambako wakati ikitoka mkoani Dodoma,amesema wakati wakishuka katika mteremko wa mlima huo dereva wao aliona Lori mbele wakati likiovertake ambapo aliruka na kuacha basi mpaka lilipogongana na kuacha njia huku likitumbukia kwenye korongo.

Jeshi la zimamoto na uokoaji limefika katika ajali hiyo ambapo mkaguzi Loti Madauda kwa niaba ya Kaimu kamanda wa zimamoto na uokoaji mkoa wa Njombe amesema walipata taarifa ya ajali hiyo majira ya 6:18 Mchana na kufika katika eneo hilo kwa ajili ya uokoaji ambapo walikuta basi likiwa na watu watano wakiwa salama huku taarifa za awali ikiwa mtu mmoja aliyekuwa abiria kwenye piki piki iliyekuwa mbele ya basi akifariki baada ya kuanguka wakati wa ajali hizo.

Mkuu wa wilaya ya Njombe Kissa Kasongwa amethibitisha kutokea kwa kifo cha mtu mmoja aliyekuwa abiria kwenye boda boda ambaye bado hajatambulika majina yake huku akitoa wito kwa madereva kuongeza umakini ili kupunguza ajali za barabarani.


⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке