UMEWAHI KUFIKIRIA? // SONGAMBELE SDA CHOIR - TARIME

Описание к видео UMEWAHI KUFIKIRIA? // SONGAMBELE SDA CHOIR - TARIME

Wimbo huu umeimbwa na kwaya ya kanisa la waadventista wa sabato Songambele, iliyoko Tarime Mar Tz, kwaya hii ni kwaya iliyosajiliwa rasmi na kanisa mwezi may 2007 ikiwa na waimbaji takribani 20, na kufikia sasa ina waimbaji 60, tuzidi kuiombea kwaya hii ili izidi kueneza injili kwa njia ya uimbaji. kwa mawasiliano zaidi waweza kuwasiliana nasi kwa:- Email -
[email protected]
Phone: +255767215543
+255685865386

Комментарии

Информация по комментариям в разработке