SAKATA LA MADADA POA RC AJIBU "NITAKANYAGA KLACHI, BOMBOKO KAMWE HAYUKO PEKE YAKE TUTASIMAMA IMARA"

Описание к видео SAKATA LA MADADA POA RC AJIBU "NITAKANYAGA KLACHI, BOMBOKO KAMWE HAYUKO PEKE YAKE TUTASIMAMA IMARA"

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameendelea kutoa msimamo na kusisitiza suala la Operesheni ya kuwakamata madada poa ni zoezi ambalo niendelevu

"Katika operesheni hii wapo baadhi ya watu wanajaribu kulichukulia kimidhaha mimi kama Mkuu wa Mkoa nitakanya cluch ili kuhakikisha jambo hili alikomi leo wala halikomi kesho"

ndugu yetu bomboko mkuu wa wilaya ya Ubungo kamwe hayuko peke yake mimi ndiyo kaka yake mkubwa wa mkoa huu niko hatua tano mbele yuko hatua chache nyuma yuko kulia kwangu yuko kushoto kwangu na wakuu wa wilaya wote wa mkoa wa Dar es salaam wataendelea kufanya shughuri hiyo" RC Chalamila

Комментарии

Информация по комментариям в разработке