EXCLUSIVE: AUNTY EZEKIEL aelezea kuumizwa kwake na Moze Iyobo kuomba hela wanawake wengine/nimemzidi

Описание к видео EXCLUSIVE: AUNTY EZEKIEL aelezea kuumizwa kwake na Moze Iyobo kuomba hela wanawake wengine/nimemzidi

Aunty Ezekiel amefunguka mengi kuhusiana na Maisha yake binafsi ya ndani pamoja na Baba Mtoto wake ambae ni Dancer maarufu wa Diamond Platnums Moze Iyobo ambae hapa katikati waliachana na sasa wamerudiana tena, lakini pia ameelezea mengi kuhusiana na maisha yake mengine, sababu za kurudiana, tofauti yao ya kipato, bila kusahau mwanaume aliekuwa nae alivyoachana na Moze

copyright of ZamaradiTV
Produced by Zamaradi Mketema

Комментарии

Информация по комментариям в разработке