Keren Peles -_- Sing to the soldiers of Israel

Описание к видео Keren Peles -_- Sing to the soldiers of Israel

‎@OteshaTime Tanzania 

‎@Keren Peles - קרן פלס 
Came to visit an IDF base before Covid-19
and sing to the soldiers...
The song 🎵 talks about friendship between womem in places where they need to empower one another ..
.
Ukiona Amani inapatikana mshukuru Mungu..Maana amani ikiondoka tu, ndipo uchungu na hali fulani ya kuhitaji Uhuru uzaliwa ndani ya mwanadamu, kwasababu Vita sio jambo la asili kuzoeleka na mwanadamu ( Mtu )..
Ndipo mwanadamu ufanya maamuzi ya haraka kulingana na hali ngumu iliyombele yake, lakini hawezi kutoka hapo bila Mungu kufanya jambo la wakovu...
.
Mfano : VITA na MAGONJWA ni vitu vya dharura kutoka kwa Ibilisi.
Wahenga walisema " Vita haina macho "
Jinsi itakavyopoteza watu bila kujali jinsia, rika, muda nk.
Uchumi utayumba, watoto watazaliwa wakiwa walemavu, watu watakufa na kukosa makazi ya kukaa vivyo hivyo njaa itachukua nafasi...
.
OMBI :
Wakati unaikumbuka nchi yako, basi Ikumbuke na nchi ya Israel katika maombi...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке