Adam Malima Atibuana na Polisi, Wafyatua Risasi Hewani

Описание к видео Adam Malima Atibuana na Polisi, Wafyatua Risasi Hewani

#Adam #Malima, amenusurika kupigwa #risasi na #askari, #Masaki jijini #Dar baada ya kutokea mabishano kati ya dereva wake na #madalali wa #majembe #Auction #mart waliokuwa wakitaka kulikamata gari kwa madai ya kuwa limeegeshwa vibaya.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
#taharuki hiyo imetokea mchana wa #Mei14, #Masaki jirani na Double Tree Hotel ambapo askari alifyatua risasi kadhaa hewani, kumtishia mbunge huyo wa zamani wa #Mkuranga, Pwani ambaye pia amewahi kuwa naibu waziri, enzi za #Kikwete.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке