Unabii kuhusu Tanzania "Rais atajwa"

Описание к видео Unabii kuhusu Tanzania "Rais atajwa"

Ungana na BMG Online TV kufahamu unabii huo kisha chukua hatua. Nabii Deo Njeni wa Kanisa la Revival (Huduma ya Utukufu wa Mwisho), lililopo Mtaa wa Shamaliwa B Kata ya Igoma Jijini Mwanza, ameonyeshwa unabii mwingine kulihusu taifa la Tanzania.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке