Kama una NDIZI 1 na YAI 1 Nyumbani Pika Pishi Hili

Описание к видео Kama una NDIZI 1 na YAI 1 Nyumbani Pika Pishi Hili

Kama una ndizi na yai nyumbani pika pishi hili. Pika Ndizi mayai kwa njia rahisi kabisa. Ndizi mayai ni kitafunwa kitamu na rahisi sana kukitengeneza.
MAHITAJI;
Ndizi mbivu 1
Yai 1
Chumvi
Maziwa Fresh (vijiko 2 vya chakula)
Kitunguu maji (kijiko 1 Cha chakula)
Karoti (kijiko 1 Cha chakula)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке