BINTI SHAZYA - SIMULIZI MPYA

Описание к видео BINTI SHAZYA - SIMULIZI MPYA

Yalikuwa ni majira ya usiku wa saa sita. Ndani ya nyumba moja kwenye kijiji cha Mtakwa, ugomvi mkubwa baina ya mke na mume ulisikika huku sauti ya mume ikiwa juu. Mwanaume huyo alipinga swala la mkewe kupenda kumzalia watoto wakike pekee na si wa kiume.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке