ZIARA ya WAZIRI MKUU IRINGA, 'GESTI' ZOTE ZAJAA, WAGENI WAPATA SHIDA KUPATA VYUMBA

Описание к видео ZIARA ya WAZIRI MKUU IRINGA, 'GESTI' ZOTE ZAJAA, WAGENI WAPATA SHIDA KUPATA VYUMBA

ZIARA ya WAZIRI MKUU IRINGA, 'GESTI' ZOTE ZAJAA, WAGENI WAPATA SHIDA KUPATA VYUMBA

Ikiwa imebaki siku moja tuu kufunguliwa kwa kongamano la uwekezaji katika sekta ya misitu Mkoani Iringa, Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Saad Mtambule leo amekutana na viongozi wa Dini na kufanya nao mazungumzo.

Katika mazungumzo hayo Mtambule amesema wakati wa kuwekeza kwenye sekta mbali mbali Wilayani Mufindi ni huu huku akibainisha kuwa kutokana na mwitikio Mkubwa wa watu katika kongamani hili nyumba za kulala wageni Mafinga zimejaa huku baadhi ya wageni wakilazimika kulala Iringa badala ya Mafinga.

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:
INSTAGRAM:   / wasafitv   ||   / wasafifm  
TWITTER:   / wasafitv   ||   / wasafifm  
FACEBOOK:   / wasafitv  

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии

Информация по комментариям в разработке