Brayan Michael_-Mtazame Mungu(Official Audio)

Описание к видео Brayan Michael_-Mtazame Mungu(Official Audio)

unapoona unapitia wakati mgum
usiwaze kufanya mabaya, muachie NUNGU
afanye maana imetupasa kwa kila jambo na kila hatua kushukuru,
wewe mtafute MUNGU kwabidii nae atakushangaza kwamema mengi atakayokutendea
maana Kuna Mambo ambayo hatuwezi
kuyafanya sisi isipokua MUNGU pekee.
Barikiwa Sana🙏.

#brayanMichael #MtazameMungu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке