MACHUNGU NA MATESO YA KIBIBI WA HUBA “MAMA YANGU ALIOLEWA NA MWANAMKE"

Описание к видео MACHUNGU NA MATESO YA KIBIBI WA HUBA “MAMA YANGU ALIOLEWA NA MWANAMKE"

Ni mahojiano na Getrude Mwita maarufu kama Kibibi, Mwigizaji aliyepata umaarufu kupitia tamthilia ya HUBA ambaye amesimulia safari ya maisha yake iliyojaa mateso na machungu na kulazimika kujilea mwenyewe kwa shida baada ya Mjomba wake aliyekua anaishi nae na kumtegemea kutaka kumbaka kitu kilichopelekea yeye kutoroka na kuanza kuishi kwa shida mitaani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке