Wabunge wakashifu utekaji nyara, wataka wote waachiliwe mara moja

Описание к видео Wabunge wakashifu utekaji nyara, wataka wote waachiliwe mara moja

Viongozi tofauti wanaendelea kukashifu utekaji nyara wa vijana wanaopinga serikali. Wa hivi punde kupinga utetekaji nyara huo ni mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji ambaye amezungumzia kutekwa nyara kwa Billy Mwangi wa miaka 24 wa Embu.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке