Highlights | Ethiopia 0-3 Kenya | CECAFA U20 - 23/11/2020

Описание к видео Highlights | Ethiopia 0-3 Kenya | CECAFA U20 - 23/11/2020

Kenya wameanza vema michuano ya vijana #CECAFAU20 kwa kuwachapa Ethiopia mabao 3-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. Wafungaji wa mabao hayo ni Benson Ochieng, Ronald Odede na Enock Wanyama.


Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке