Ruto na Laboso watoana kijasho kwenye kivumbi hicho

Описание к видео Ruto na Laboso watoana kijasho kwenye kivumbi hicho

Ruto na Laboso watoana kijasho kwenye kivumbi hicho

Ruto: Laboso ni mradi wa naibu rais

Laboso: Mimi sio mradi, nina dhamira ya ajenda

Kivumbi chaonekana kupima nguvu ubabe wa naibu rais bonde la ufa

Chama cha Jubilee na CCM zapimana nguvu Bomet

Комментарии

Информация по комментариям в разработке