Majambazi 4 wanaswa wakitekeleza wizi Nyamakima, Nairobi

Описание к видео Majambazi 4 wanaswa wakitekeleza wizi Nyamakima, Nairobi

Polisi hapa Nairobi wanaonekana kushindwa kubainisha nyuso za watu wanne walionaswa katika kamera za CCTV wakiiba katika maduka kadhaa eneo la Nyamakima hapa jijini Nairobi. Wanne hao wanasemekana kuvunja maduka 18 na kutoweka na mali na pesa taslimu zenye thamani ya shilingi milioni mbili.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке