MAFUNZO YA UJASIRIAMALI - Jinsi ya kujiamini na kujenga ujasiri katika kuendesha biashara

Описание к видео MAFUNZO YA UJASIRIAMALI - Jinsi ya kujiamini na kujenga ujasiri katika kuendesha biashara

Kutana na Mkufunzi wetu Erick Chrispin akielezea Jinsi ya kujiamini na kujenga ujasiri katika kuendesha biashara. Huu ni mfululizo wa mafunzo ya ujasiriamali kutoka Tanzania Bora initiative kupitia mradi wa serikali yangu.

Ili kupata mafunzo zaidi download application ya Serikali Yangu kwenye Google Playstore.

https://play.google.com/store/apps/de...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке