CHEKECHE || Mkutano wa 78 wa Umoja wa Mataifa || Urusi, Afrika "gumzo kuu"

Описание к видео CHEKECHE || Mkutano wa 78 wa Umoja wa Mataifa || Urusi, Afrika "gumzo kuu"

Viongozi wa nchi mbalimbali duniani wamekutana kwenye mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa nchini Marekani huku vita vya Urusi na Ukraine vikichukua nafasi ya mjadala sambamba na viongozi wa Afrika kupaza sauti kuhusu mwenendo wa hali ya mambo ikiwemo "ukoloni mamboleo".

Ungana na Raymond Nyamwihula akiwa na Ibrahim Rahbi kwenye CHEKECHE.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке