FURSA YA VIFUNGASHIO "MIFUKO" MBADALA WA PLASTIKI

Описание к видео FURSA YA VIFUNGASHIO "MIFUKO" MBADALA WA PLASTIKI

Mkurugenzi wa Harsho Group, Harold Shoo amesema serikali kupiga marufuku #Vifungashio vya #Plastiki ni #Fursa kwa kiwanda hicho na kupata masoko ya ndani na nje.
Akizungumza Mcl Digital Aprili 17 2019, Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Shoo amesema licha ya kwamba alipata wakati mgumu katika maandalizi ya kubadilisha mitambo ya kiwanda hicho ambapo awali walikuwa wanazalisha mifuko ya plastiki

Комментарии

Информация по комментариям в разработке