Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa

Описание к видео Bagamoyo Sugar || Kiwanda cha sukari cha Said Salim Bakhresa

Ni wazi kuwa Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi ambazo zinakabiliwa na upungufu wa baadhi ya bidhaa muhimu za matumizi ya kila siku ikiwemo Sukari.
Kutokana na upungufu huo kampuni za Said Salim Bakhresa zikakubali ombi la Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, hayati John Magufuli la kupewa eneo la kuanzisha kiwanda ili kuondoa tatizo hilo upungufu wa sukari.

Baada ya kuridhia huko kampuni za Said Salim Bakhresa zikaja na kiwanda kipya cha uzalishaji sukari BAGAMOYO SUGAR.

Tazama namna kiwanda hivyo kilivyoanza na namna kinavyofanya kazi ili kuondoa upungufu wa sukari nchini.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке