Machalari ya Kuku/ Ndizi Moshi za Kuku

Описание к видео Machalari ya Kuku/ Ndizi Moshi za Kuku

Hey Dears, enjoy machalari ya kuku.
nimetumia
kuku 1
ndizi kama 25 ( au za 5000)
nyanya 1
kitunguu maji 1
hoho 1
karot 1
nazi kikombe kimoja
chumvi 1tbsp


ukiwa unapika ndizi, hakikisha unafunika kabisa mvuke usipite, ili zisiwe nguku. Pika mchuzi wa kuku ndo ili ziwe tamu zaidi., chumvi weka baada ya ndizi kuiva, inafanya ndizi zako zisiwe ngumu zikishaiva.
natumaini utafurahia recipe hii.

Please subscribe uendeleee kuenjoy recipes nzuri nzuri zaidi. love you 😍
___
unaweza nipata pia Tiktoka kwa @malkiafoods
pamoja na Instagram gusa link hapa chini 👇

https://www.instagram.com/malkiafoods...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке