MAKANGE YA KUKU MATAMU SANA

Описание к видео MAKANGE YA KUKU MATAMU SANA

🔴Makange ya kuku matamu sana yanafaa kuliwa na chakula chochote kile kama chips, wali, ugali au hata ndizi.

🔴Ukiwa unapika kuwa mamini kama kuku unayemtumia ana mafuta mengi basi usiweke mafuta mengi wakati wa kukaanga weka kiasi tu.

🔴Kama kuna kiungo nimetumia na haupendi usisite kuuliza katika comments section ili nikupatie mbadala wake.

🔴Mpendwa usisaha ku subscribe, like, share and comments ili tu enjoy zaidi.

🔴Instagram natumia @iamrasheedah__ huwa napost dondoo nyingi zaidi na biashara zangu za vyakula .. Kariby 🙏

Комментарии

Информация по комментариям в разработке