MZEE MIAKA 75 APIGWA RISASI na POLISI - YU HOI MUHIMBILI -ATAKIWA KUKATWA MGUU -TUHUMA za WIZ -UTATA

Описание к видео MZEE MIAKA 75 APIGWA RISASI na POLISI - YU HOI MUHIMBILI -ATAKIWA KUKATWA MGUU -TUHUMA za WIZ -UTATA

MZEE MIAKA 75 APIGWA RISASI na POLISI - YU HOI MUHIMBILI -ATAKIWA KUKATWA MGUU -TUHUMA za WIZ -UTATA....

Mzee mmoja aliyejulikana kwa majina ya Abdalah Mohamed Ngombo mwenye umri wa miaka 75 mkazi wa Mkuranga mkoa wa Pwani amepigwa risasi ya mguu na wanayedaiwa askari wa jeshi la polisi wilaya ya Mkuranga kwa madai ya kutaka kumjeruhi mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai na sururu aliyotoka nayo ndani mara baada ya kufika nyumbani kwake kumkamata hivyo askari akamfyatulia risasi ya mguu.

Baadhi ya ndugu wakiwemo watoto wake na majirani wa mzee huyo wameeleza Global Tv kuwa mzee huyo hakuwa na matukio yoyote ya uhalifu tokea ujana wake.




⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке