Rais Samia awataka ambao hawajahesabiwa (Sensa) wajitokeze

Описание к видео Rais Samia awataka ambao hawajahesabiwa (Sensa) wajitokeze

"Tumeongeza siku saba...kwa ajili ya kuchukua sensa ya nyumba na makazi, lakini papo hapo ni fursa kwa wale ambao hawakuhesabiwa kwenda kusema hawakuhesabiwa" - Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika tamasha la Kizimkazi lililofanyika leo Kizimkazi Dimbani, Zanzibar.

#UFMUpdates #UFMHabari

Комментарии

Информация по комментариям в разработке